Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Beitul Haram mjini Makka
IQNA-Katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Beitul Haram katika mji mtakatifu wa Makka, Ayatullah Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Serikali za Kiislamu zinapaswa kufunga njia zote za kuusaidia utawala wa Kizayuni, na kwamba wananchi nao wanapasa kuziwajibisha serikali zao katika kufikia lengo hilo.
Habari ID: 3480791 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/05
Ujumbe wa Hija
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria jinai zinazofanywa na utawala katili na unaoelekea kusambaratika wa Israel huko Gaza na kusema: Suala la kujibari na kutangaza hasira dhidi ya washirikina ni kubwa zaidi mwaka huu kuliko huko nyuma.
Habari ID: 3478968 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/15
Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
Habari ID: 3478966 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14
Hija 1444
Maelfu ya waumini Waislamu wanaendeea kuondoka katika mji mtakatigu wa Makka baada ya kumaliza ibada ya killa mwaka ya Hija ambayo mwaka huu imesadifiana na msimu wa joto kali.
Habari ID: 3477218 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30
TEHRAN (IQNA) Wasomi na wanazuoni wakubwa wa Kiislamu wamekutaja kwa njia ya intaneti na kujadili nukta tofauti za ujumbe wa Hija mwaka huu uliotolewa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyed Ali Khamenei
Habari ID: 3474124 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe kwa Mahujaji
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama ya Marekani ya kile inachokitaja kuwa eti ni 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3472077 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/10